Ulianza kuwa motivational speaker lini? Anita Nderu awashauri wanawake – Radio Jambo

NA NICKSON TOSI Anita Nderu mtangazaji ambaye wakati mmoja alijipata pabaya katika mitandao ya kijamii sasa amejitokeza na kuwarai wanawake kushirikiana na kuwasaidia wale ambao hawajiwezi kwa jamii. Anita alisema kuwa hakuna haja ya wanawake kuwa katika mashindano ya kutaka kuona nani ndiye bora katika jamii bali kuwarai kutumia fursa>>>

Continue reading